UN: Hatua za kimataifa zichukuliwe dhidi ya ongezeko la ‘chuki dhidi ya Waislamu’

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wake juu ya “ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu”, akitoa wito kwa serikali kulinda uhuru wa kidini, na kwa majukwaa ya mtandaoni kuzuia matamshi ya chuki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *