Msemaji wa Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) ameeleza wasi wasi wake mkubwa juu ya hatua ya utawala wa Israel ya kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Ukanda wa Gaza na kubainisha kwamba, hali ya sasa ya Ukanda huo ni mbaya zaidi tangu kuanza kwa vita hivyo.
Related Posts
Guterres amuonya Trump kuhusu jaribio la kufuta kizazi cha Wapalestina huko Gaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya dhidi ya jaribio lolote la “kufuta kizazi” cha Wapalestina huko Gaza,…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya dhidi ya jaribio lolote la “kufuta kizazi” cha Wapalestina huko Gaza,…
Kamanda: Jeshi la Iran litawaponda maadui wakifanya kosa lolote
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Qalibaf: Iran imesimama imara kuwatetea Waislamu duniani
Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Iran siku zote inasisima imara na imeonyesha kuwa ni…
Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Iran siku zote inasisima imara na imeonyesha kuwa ni…