Umuhimu wa msimamo wa kamati ya mawaziri wa nchi za Kiarabu na Kiislamu dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza.

Kamati ya Mawaziri ya Nchi za Kiarabu na Kiislamu imeelezea wasi wasi wake kuhusu mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kutaka kutekelezwa mara moja na kikamilifu usitishaji vita kwa mujibu wa azimio nambari 2735 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *