Mkutano wa Kimataifa wa Jukwaa la Mazungumzo ya Tehran unafanyika kwa kuwashirikisha takriban wageni 200 kutoka nchi 53 duniani. Mkutano huo umefunguliwa rasmi mapema leo katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araqchi.
Related Posts
ISRAEL KUISHAMBULIA IRAN MAPEMA KABLA IRAN HAIJAISHAMBULIA
Israeli inatafakari mgomo wa mapema dhidi ya Iran – kila siku“Israel itafikiria kuanzisha mgomo wa mapema ili kuzuia Iran ikiwa…
Israeli inatafakari mgomo wa mapema dhidi ya Iran – kila siku“Israel itafikiria kuanzisha mgomo wa mapema ili kuzuia Iran ikiwa…
WFP: Matibabu ya utapiamlo yasitishwa nchini Ethiopia kutokana na ukosefu wa fedha
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wiki hii umesimamisha matibabu ya utapiamlo kwa wanawake na watoto 650,000 nchini Ethiopia kutokana na…
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wiki hii umesimamisha matibabu ya utapiamlo kwa wanawake na watoto 650,000 nchini Ethiopia kutokana na…
UNICEF: Machafuko na njaa vinatishia maisha ya maelfu ya watoto wa Sudan
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan…