Umoja wa Mataifa wapunguza misaada ya kibinadamu

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umepunguza mipango yake ya misaada ya kibinadamu katika mataifa mawili ya Yemen na Somalia, ikiwa ni matokeo ya kupungua maradufu kwa ufadhili kutoka kwa nchi wanachama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *