Umoja wa Mataifa waonya: Njia ni ndefu mbele ya kujenga upya maisha huko Ghaza

Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari ukisema kuwa kuna njia ndefu ya kuyajenga upya maisha ya watu wa Ghaza hata baada ya kuanza kumiminika huko misaada ya kibinadamu baada ya kufikiwa makubaliano ya kusimamisha vita kati ya HAMAS na utawala wa Kizayuni wa Israel.