Umoja wa Mataifa waonya juu ya uhaba mkubwa wa matibabu huku watu 1,600 wakifariki katika tetemeko la ardhi Myanmar

Huku waokoaji wakitafuta manusura, Umoja wa Mataifa umesema ukosefu mkubwa wa vifaa vya matibabu unatatiza juhudi za kutoa misaada katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *