Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya kutangazwa serikali nyingine nchini Sudan

Umoja wa Mataifa umeonya kwamba tangazo la serikali nyingine nchini Sudan linatishia “kuzidisha mgogoro” unaoendelea nchini humo.