Umoja wa Mataifa walishutumu kundi la RSF kwa kuzuia misaada inayoepelekwa Darfur, Sudan

Umoja wa Mataifa umevishutumu Vikosi vya Usaidizi waa Haraka RSF vya Sudan kwa kuzuia msaada katika eneo linalokabiliwa na njaa la Darfur magharibi mwa nchi hiyo.