Umoja wa Mataifa: Dola bilioni 2.54 zinahitajika kwa ajili ya misaada ya kibinadamu DRC

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kunahitajika zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya kufanikisha zoezi la utoaji misaada ya kibinadamu katika Jamhuri yay Kidemokrasia ya Congo.