Umewahi Kusoma Hotuba ya Sha’baniyyah ya Mtume Muhammad (saw)?

Kwa mujibu wa kitabu cha “Kanzul-Maram fi A’mal Shahr al-Siyam”, Sheikh al-Saduq anamnukuu Imam Ridha (AS) akisema kwamba, katika moja ya siku za mwisho za mwezi wa Shaaban, kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mtume Muhammad (SAW) alitoa hotuba inayojulikana kama al Khutbatu Al-Sha’baniyyah.