‘Ulemavu ulizima ndoto yangu kuwa mwanajeshi’ Lucy Shirima

Kwa Lucy Shirima ulemavu haukuwa sababu ya kukata kiu yake ya kuwa mwanamichezo bingwa wa tennis duniani akimhusudu Mjapani Naomi Osaka anayeshikilia nambari moja kwa upande wa wanawake.