Ulazima wa kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan

Suala la kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia limesisitiza katika Kongamano Kuu la Mashia na jami ya walio wachache ya kabila la Hazara nchini Afghanistan, lililofanyika mjini Kabul likuhudhuriwa na maafisa wa Taliban.