“Ulaya ndiyo iliyopata hasara kubwa katika kamari ya Trump na Putin”

Wakati huu ambapo Saudi Arabia inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano baina ya marais wa Russia na Marekani, kila kitu kinathibitisha kwamba aliyepata hasara kubwa katika kamari hiyo ni nchi za Ulaya.