Ukraine yatumia ndege za kivita za Ufaransa kwa mara ya kwanza kuikabili Urusi

Zelensky ameshukuru Ufaransa kwa kutoa ndege za kivita za F-16 na Mirage-2000, akisema zimekuwa na ufanisi mkubwa dhidi ya makombora ya Urusi.