Ukraine iko tayari kukubali kusitisha mapigano na Urusi kwa siku 30

Ukraine imesema iko tayari kukubali usitishaji wa mapigano na Urusi kwa siku 30 uliopendekezwa na Marekani, baada ya siku ya mazungumzo kati ya Marekani na Ukraine nchini Saudi Arabia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *