Ukidhabi mkubwa wa Israel kuhusu mashambulizi yake dhidi ya hospitali za Ghaza wafichuka

Gazeti moja la lugha ya Kiebrania limefichua kwamba jeshi la Israel lilitoa taarifa za uongo kuhusu kuwepo handaki la Hamas chini ya “Hospitali ya Ulaya” (The European Hospital) huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Ghaza, na kwamba hospitali hiyo ililengwa na mashambulizi makubwa ya mabomu mara mbili ndani ya saa 24 bila ya kuweko handaki lolote la HAMAS.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *