Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka mashinikizo dhidi ya Marekani, iwapo Washington itashindwa kukumbatia ‘demokrasia ya kiliberali’.