Ujangili wakithiri A/Kusini, vifaru 420 wawinda kinyume cha sheria

Waziri wa Misitu, Uvuvi na Mazingira wa Afrika Kusini, Dion George, ametoa taarifa rasmi na kusema kuwa vifaru 420 waliuliwa kinyume cha sheria kwa ajili ya pembe zao nchini Afrika Kusini mwaka 2024, ingawa idadi hiyo iko chini ya ile ya mwaka juzi, 2023, ambapo vizuri 499 waliuliwa na majangili kwa ajili ya vipusa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *