Uingereza yakataa kuilipa Rwanda fidia baada ya kufuta mkataba wa wahamiaji

Serikali ya Uingereza imekataa kuilipa Rwanda fidia  baada ya kufuta mkataba wa wahamiaji kati ya nchi hizo mbili.