Uingereza: Ghaza ndio mahali hatari zaidi duniani kwa wahudumu wa misaada ya kibinadamu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa Ghaza na kukiri kuwa eneo hilo la ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni “mahali hatari zaidi duniani” kwa watoaji misaada ya kibinadamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *