Uhusiano wa kidiplomasia wa Kenya na Sudan matatani baada ya Nairobi kuwa mwenyeji wa RSF

Kenya na Sudan huenda zikaingia katika mgogoro wa kidiplomasia baaada ya Nairobi kuwa mwenyeji wa mkutano wa wanamgambo wa RSF wanaopigana na serikali ya ya Khartoum.