Uhuru wa kujieleza kwa mtindo wa Trump; Wanafunzi wa Marekani wanaounga mkono Palestina wanafukuzwa

Rais wa Marekani ametia saini amri ya kufuatilia shughuli za wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwafukuza iwapo itagundulika kuwa wanaiunga mkono Palestina!