Ni mtoto mdogo sana, lakini tayari ameonyesha makali katika muziki wa ragga. Anatambulika kama Fresh Kid UG na alianza kung’ara akiwa na miaka 7 na hadi sasa ametoa nyimbo 20. Ungana nami hapa ujionee kipaji hiki. #77% #kurunzi #dwkiswahili #msichanajasiri