Uganda yasema imeweza kudhibiti mlipuko wa Ebola

Uganda imesema imeweza “kudhibiti” mlipuko wa hivi karibuni wa virusi vya Ebola aina ya Sudan, ambao ulithibitishwa na Wizara ya Afya mwishoni mwa Januari.