Ufaransa: Kesi ya Sarkozy na “dili” la nyuma ya pazia na Gaddafi yaendelea

Kesi inayoendelea kwa miezi kadhaa ya rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kuhusu madai ya kufadhili kampeni yake ya urais mwaka 2007 kinyume cha sheria, sasa imeangazia mazungumzo ya siri ya Ufaransa na serikali ya kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *