Uchunguzi wa maoni: Sura ya Marekani imeporomoka duniani kote

Utafiti mpya wa kila mwaka, uliochapishwa jana Jumatatu, unaonyesha kuwa mtazamo wa kimataifa kuhusu Marekani imerudi nyuma kwa kiasi kikubwa katika mwaka uliopita, na kwamba mtazamo wa watu kuhusu nchi hiyo sasa ni mbaya zaidi ikilinganishwa na Uchina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *