Uchunguzi wa maoni: Asilimia 63 ya Wazayuni wanataka Netanyahu ajiuzulu

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo yanayomtaka ajizulu hasa baada ya Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya Gaza.