Uchaguzi wa Chadema: Mbowe akubali kushindwa, ampongeza Lissu

Tundu amemng’oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miongo miwili.