Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa

Elon Musk, Mkuu wa Ofisi ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE) amesema kuwa, Idara ya Hazina ya nchi hiyo imegubikwa na ubadhirifu mkubwa na kwamba kila mwaka inalipa watu hewa dola bilioni 100 za Kimarekani.