Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi

Kuongeza ushirikiano na kupanua mahusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi ni miongoni mwa malengo makuu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO).