UAE imeweka mtambo wa rada wa Israel Puntland kwa ajili ya kutungua makombora ya Yemen

Duru za habari zimeripoti kuwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati imeweka mtambo wa rada wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Puntland, Somalia ili kuyanasa na kuyatungua makombora yanayorushwa na Yemen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *