“Tutayaunga mkono mapinduzi ya 1979 hadi pumzi ya mwisho”; dodoo za jumbe kutoka kwa watumiaji wa X kwenye maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

Parstoday: Watumiaji wa Kiirani wa mtandao wa kijamii wa X wameuchukulia ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni mafanikio makubwa ya taifa la Iran na wakasema: Mapinduzi ya Kiislamu yalikuwa ni alfajiri iliyoondoa pazia la giza Mashariki na Magharibi.