‘Tutaishi na kufa katika nchi yetu’: Kauli ya Wagaza baada ya Trump kupendekeza kuichukua

Hamas, ambayo imedhoofishwa sana bado inadhibiti Ukanda huo, ilisema matamshi ya Trump ni “ya kipuuzi.”