‘Tusaidieni’: Vilio vya mamia ya wahamiaji waliotolewa Marekani na kushikiliwa katika hoteli ya Panama

Kati ya wahamiaji 299 wasio na hati za uraia, kutoka India, China, Uzbekistan, Iran, Vietnam, Uturuki, Nepal, Pakistan, Afghanistan na Sri Lanka, ni 171 pekee waliokubali kurejea katika nchi zao za asili.