Tunisia yatoa wito wa kufikishwa mahakamani maafisa wa Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

Tunisia imetangaza kuwa, makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza hayapaswi kufunika jukumu la kuwafungulia mashtaka na kuwahukumu maafisa wa Kizayuni wa Israel kwa kosa la kufanya uhalifu wa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.