Tunachokijua kuhusu miji ya mahandaki ya Iran yaliyojaa makombora

“Ikiwa watafichua mji mmoja wa makombora kila wiki, mfululizo huu hautaisha ndani ya miaka miwili,” Amir Ali Hajizade asema.