Tshisekedi na Kagame wakutana na kukubaliana kusitisha vita DRC

Taarifa ya nchi hizo na mwenyeji wao Qatar imesema, wakuu wa nchi hao walithibitisha kujitolea kwa pande zote kusitisha vita mara moja na bila masharti.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *