Donald Trump, rais wa Marekani, alirejea kwa mara ya pili Ikulu ya White House akiwa na kiwango cha juu zaidi cha umaarufu tangu kuanza safari yake ya kisiasa. Hata hivyo, utafiti mpya wa mtandao wa habari wa Marekani, CNN, unaonyesha kuwa umaarufu wa Trump umeshuka hadi kiwango cha chini kabisa karibu na siku ya 100 ya kurejea kwake madarakani.
Related Posts
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa aghadhibishwa vikali na kimya cha Ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na Ghaza
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu amekosoa vikali kimya cha Ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na mauaji ya kimbari yanayoendelea…
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu amekosoa vikali kimya cha Ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na mauaji ya kimbari yanayoendelea…
Uungaji mkono wa viongozi wa Afrika kwa Palestina na kulaaniwa vikali jinai za utawala wa Kizayuni
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) wametangaza kuiunga mkono Palestina na kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni. Mkutano wa…
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) wametangaza kuiunga mkono Palestina na kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni. Mkutano wa…
Zelenskyy akataa kuomba msamaha kwa Trump; Asema: “sikufanya lolote baya”
Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump…
Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump…