Mkutano uliokusudiwa kutuliza mvutano kati ya Marekani na Afrika Kusini badala yake mvutano uliongezeka huku Rais Donald Trump akimweka mwenzake kwenye utetezi kwa madai kwamba wakulima wa kizungu katika taifa lake walikuwa “wakinyanyaswa” na kuuawa.
BBC News Swahili