Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaweza akafikiria kusitisha msaada kwa Jordan na Misri ikiwa zitakataa kuwapokea Wapalestina, baada ya kutekeleza mpango wake wa kuwahamaisha kwa nguvu wananchi hao katika ardhi yao ya Ukanda wa Ghaza ili kulihodhi na kulimiliki eneo hilo lililowekewa mzingiro.
Related Posts
Ukraine imepoteza zaidi ya wanajeshi 11,220 tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Kursk
Ukraine imepoteza zaidi ya wanajeshi 11,220 tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la KurskWanajeshi wa Urusi walizuia mashambulizi matano ya…
Hamas yawaachilia mateka watatu Waisraeli mkabala wa wafungwa 369 wa Kipalestina
Wanaharakati wa mapambano ya Kiislamu au Muqawama wa Gaza wamewakabidhi mateka watatu Waisraeli kwa Msalaba Mwekundu kwa kubadilishana na Wapalestina…
Alkhamisi, 13 Februari, 2025
Leo ni Akhamisi 14 Sha’ban 1446 Hijria sawa na 13 Februari 2025 Milaadia. Post Views: 25