Trump atishia kuviadhibu vyuo vikuu 60 ili visiruhusu maandamano dhidi ya Israel

Licha ya kujigamba duniani kuwa Marekani ni kinara wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, lakini utawala wa Donald Trump umetishia kuviadhibu vyuo vikuu 60 vya nchi hiyo kwa kisingizio cha kueneza chuki dhidi ya Mayahudi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *