Trump atia saini amri ya kufungia msaada kwa Afrika Kusini kwasababu ya sheria ya ardhi

Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kufungia msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, baada ya kutishia kufanya hivyo mapema wiki hii.