Trump asema ni ‘vigumu zaidi’ kufanya kazi na Ukraine kuliko Urusi

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaona kuwa ni “vigumu ngumu zaidi, kusema ukweli, kufanya kazi na Ukraine” kuliko Urusi katika majaribio ya kuleta amani kati ya mataifa hayo mawili.