Trump ang’ang’ania mpango wake wa kutaka Wapalestina wahamishwe Ghaza, amwalika Netanyahu

Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kung’ang’ania pendekezo lake la kuhamishwa Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.