Trump anataka amani huku raia wa Ukraine wakiingiwa hofu

Trump na Putin wanataka kufanya makubaliano ya kusitisha mapigano Ukraine. Lakini raia wa Ukraine wanahoji jinsi maisha baada ya kusitisha mapigano yatakavyokuwa.