Trump ampa Putin fursa ya kujiondoa katika ‘upweke’

Rais wa Marekani Donald Trump amesema alikuwa na mazungumzo ya simu “ya muda mrefu na yenye tija kubwa” na Vladimir Putin siku ya Jumatano