Trump akosolewa kwa kuirejesha Ansarullah katika ‘orodha ya magaidi’

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekosoa vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kuanzisha mchakato wa kuirejesha Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha ya Washington ya makundi ya ‘kigaidi’.