
Utawala wa Trump siku ya Ijumaa, Machi 28, umeiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya jaji wa shirikisho ya kuwafukuza wahamiaji chini ya sheria ya dharura ya “maadui wageni” iliyotumiwa tu wakati wa vita.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
“Kesi hii inazua maswali ya kimsingi kuhusu ni nani anayeamua jinsi shughuli nyeti za usalama wa taifa zinavyoendeshwa: rais au mahakama,” utawala wa Trump umesema.
Taarifa zaidi za zinakujia…