Traore: Burkina Faso inataka ustawi wa kasi wa uhusiano na Russia

Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, siku ya Jumamosi alisema anataka uhusiano wa nchi yake na Urusi ukue kwa kasi ya “kihistoria” na kupanuka katika maeneo mapya ya ushirikiano. Traore ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na Rais wa Russia, Vladimir Putin, mjini Moscow.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *